Skip to content
zeno
Create a Station
Explore
Podcasts
Audiobooks
Bible
By Genre
By Location
By Language
Religious
Music
News
Download App
Opens in a new window
Toggle Sidebar
zeno
United Nations
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Daily News
Swahili
Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
Website
Episodes
Episodes
100
02 October 2026
“Maisha yanaweza kuwa mabaya kwa sababu ya vita, lakini tunaimba tu… na ninapoimba inanifanya kusahau matatizo yote na kuwa katika wakati huo." - Toussaint Chiza
Mwaka huu ni miaka 75 tangu ulipopitishwa mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi mwaka 1951 na tangu wakati huo mamilioni ya wakimbizi wamepatiwa hifahi, usalama na maisha yao kuokolewa na kubadilishwa kupitia mpango wa mkataba huo wa kuwapeleka wakimbizi katika nchi ya tatu kuanza upya maisha yao. Miongoni mwa wafaidika wa mpango huo ni mgeni wetu kwenye mada ya leo aliyekimbia vita Jamhuri ya...
9 min
02 October 2026
02 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Mwaka huu ni miaka 75 tangu ulipopitishwa mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi mwaka 1951 na tangu wakati huo mamilioni ya wakimbizi wamepatiwa hifahi, usalama na maisha yao kuokolewa na kubadilishwa kupitia mpango wa mkataba huo wa kuwapeleka wakimbizi katika nchi ya tatu kuanza upya maisha yao. Miongoni mwa wafaidika wa mpango huo ni mgeni wetu...
10 min
01 October 2026
01 OKTOBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Miongoni mwa mikutano iliyochukua nafasi kubwa wakati wa Mjadala Mkuu wa ngazi ya juu wa Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa , UNGA81 ni kuhusu Akili Mnembaa u AI. Pamoja na changamoto zake lakini AI inauweza mkubwa wa kusaidia jamii kutatua changamoto na hata kuondoa taarifa potofu. Waandishi wa habari hawakuachwa nyuma nao walikuwa na...
9 min
30 September 2026
30 SEPTEMBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina, tukimsikiliza mmoja wa washiriki wa UNGA81ulioanza tarehe 22 Septemba na kufunga pazia Jumatatu, tarehe 28 Septemba mwaka huu wa 2026 Paul Siniga, ambaye pamoja na wadhifa mwingine alionao ni mchechemuzi wa Tanzania katika utekelezaji wa malengo ya maendeleo endelevu SDGs na mleta mabadiliko wa watoto kupitia shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia...
11 min
29 September 2026
29 SEPTEMBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Dunia hivi sasa imegubikwa na mazingira ya uhalifu yanayozidi kuwa magum ukila uchao. Umoja wa Mataifa unasema kutokana na mazingira hayo huduma, miundombinu na teknolojia vinaweza kutumiwa vibaya na wahalifu.Hii ni pamoja na mienendo mipya inayojulikana kama “uhalifu kama huduma” na “vurugu kama huduma. Ni kwa kuzingatia hilo, Ofisi ya Umoja wa Mataifa...
9 min
28 September 2026
28 SEPTEMNA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Hii leo tunaangazia sekta ya afya barani Afrika na kuzungumzia hilo mwenzangu Leah Mushi amezungumza na Mkurugenzi wa shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni Kanda ya Afrika Profesa Mohamed Janabi. Suala la kwanza kutaka kufangamu kutoka kwake ni je mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu maandalizi dhidi ya majanga ya milipuko ya magonjwa ulifanyika...
9 min
25 September 2026
25 SEPTEMBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Hapa katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa leo unafanyika mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu maandalizi dhidi ya majanga ya milipuko ya magonjwa na kama nilivyokudokeza kuwa tutakuwa na maoni na ushauri wa baadhi ya wananchi wa Afrika Mashariki kwa viongozi wanaoshiriki mkutano huo, tunaanzia nchini Uganda, kisha tuelekee nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
10 min
24 September 2026
24 SEPTEMBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. “Kuwa mkimbizi si chaguo wala hiyari ni shuruti inayotokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutokuwa amani sababu ya vita na kila mtu anaweza kuwa mkimbizi siku moja.” Hiyo ni kauli ya Marry Nyiriak Maker Balozi Mwema wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR ambaye amezungumza na Flora Nducha wa Idhaa hii kandoni mwa mjadala Mkuu wa...
11 min
23 September 2026
23 SEPTEMBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Kesho Septemba 24 viongozi wa dunia wanaokutana hapa New York, Marekani kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa watakuwa na mkutano wa ngazi ya juu kuhusu ongezeko la kina cha maji ya bahari duniani.Hatimaye wanatarajiwa kupitisha azimio la kusaidia mataifa yanayokumbwa na madhara yatokanayo na ongezeko hilo. Kutoka Nairobi, Kenya, Assumpta Massoi kwa...
12 min
22 September 2026
22 SEPTEMBA 2026
Hii leo jaridani tunakuletea mada kwa kina. Mabadiliko ya tabianchi hayawaathiri watu wote kwa kiwango sawa. Baadhi ya nchi zimejenga uchumi wao kwa miongo kadhaa kupitia matumizi makubwa ya nishati ya mafuta, huku nyingine zilizochangia kidogo katika uzalishaji wa gesi chafu zikikabiliwa na mafuriko, vimbunga, ukame, ongezeko la kina cha bahari na kupotea kwa njia za kujipatia riziki. Hili ndilo...
11 min