Skip to content
Opens in a new window
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno, “KUSOROZA.”
30 July 2026

Jifunze Kiswahili: Maana ya neno, “KUSOROZA.”

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili, na leo tunamkaribisha Ntahombaye Hussein, Mwenyekiti wa Chama cha Wanahabari wa Kiswahili nchini Burundi, CHAWARUNDI. Anafafanua maana ya neno, “KUSOROZA.”