Ndugu yangu uliyebarikiwa, wasaidie watoto hawa wanaopitia wakati mgumu kwani nao wanahitaji faraja, furaha, amani, elimu na upendo kama watoto wengine.