Saidia watoto yatima wanaokuzunguka kwa kuwapa faraja na mahitaji maalumu kwani na wao wana haki kama watoto wengine.