NANI KUWA MBABE KWENYE MCHEZO WA TOTTENHAM V LIVERPOOL 30 September 2023Karibu kwenye uchambuzi wa mchezo wa ligi kuu nchini England, Tottenham wakiwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.Lusamwa Hamis Lusamwa anawaarika Shabel Daniel na Julius Leonard.00:30:18
UCHAMBUZI AFCON 2027 NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA 29 September 2023Karibu kwenye uchambuzi wa kina kuhusu PAMOJA BID AFCON 2027 na Uchambuzi kuelekea michezo ya wikiendi hii ambapo Young Africans Sports Club wataikaribisha El Merrekh kutoka nchini Sudan na Simba Sports Club wataikaribisha Power Dynamos ya kutoka nchini Zambia michezo yote ikifanyika uwanja wa Chama...00:30:00
UCHAMBUZI WA MECHI ZA EPL25 September 2023Karibu kwenye uchambuzi wa kina juu ya michezo ya Arsenal v Tottenham na Chelsea v Aston villa.Mchambuzi Shabel Daniel anafafanua kwa kina wapi Arsenal walikosea na wapi Tottenham waliofanikiwa na ni nini tatizo la msingi la Chelsea.00:33:56
EPL; ARSENAL V TOTTENHAM 24 September 2023 Karibu kwenye uchambuzi wa kina kuhusu mchezo wa ligi kuu nchini England kati ya Arsenal v Tottenham, mchezo utakaofanyika kwenye uwanja wa Emirates Jijini London.00:24:01