Zeno FM logo
  • Home
  • Explore
  • Religious
  • Music
  • News
  • Podcasts
  • Bible
  • By Genre
  • By Location
  • By Language
  • Download app
  • Log in
  • Sign up
LSM WORLD - On The Pitch
LSM WORLD - On The Pitch
LSM WORLD - Lusamwa

LSM WORLD - On The Pitch

Sports NewsSwahili
The heaviest discussion of Sports.
Website
NANI KUWA MBABE KWENYE MCHEZO WA TOTTENHAM V LIVERPOOL
30 September 2023

NANI KUWA MBABE KWENYE MCHEZO WA TOTTENHAM V LIVERPOOL

Karibu kwenye uchambuzi wa mchezo wa ligi kuu nchini England, Tottenham wakiwakaribisha Liverpool kwenye uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London.Lusamwa Hamis Lusamwa anawaarika Shabel Daniel na Julius Leonard.
UCHAMBUZI AFCON 2027 NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA
29 September 2023

UCHAMBUZI AFCON 2027 NA LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Karibu kwenye uchambuzi wa kina kuhusu PAMOJA BID AFCON 2027 na Uchambuzi kuelekea michezo ya wikiendi hii ambapo Young Africans Sports Club wataikaribisha El Merrekh kutoka nchini Sudan na Simba Sports Club wataikaribisha Power Dynamos ya kutoka nchini Zambia michezo yote ikifanyika uwanja wa Chamazi Complex Jijini Dar es salaam, Tanzania.
UCHAMBUZI WA MECHI ZA EPL
25 September 2023

UCHAMBUZI WA MECHI ZA EPL

Karibu kwenye uchambuzi wa kina juu ya michezo ya Arsenal v Tottenham na Chelsea v Aston villa.Mchambuzi Shabel Daniel anafafanua kwa kina wapi Arsenal walikosea na wapi Tottenham waliofanikiwa na ni nini tatizo la msingi la Chelsea.
EPL; ARSENAL V TOTTENHAM
24 September 2023

EPL; ARSENAL V TOTTENHAM

Karibu kwenye uchambuzi wa kina kuhusu mchezo wa ligi kuu nchini England kati ya Arsenal v Tottenham, mchezo utakaofanyika kwenye uwanja wa Emirates Jijini London.