
About
Send us a text
Karibu kwenye maombi maalum ya kuombea mwaka 2026! Katika naombi haya, tunamwomba Mungu kwa ajili ya ulinzi, baraka, mafanikio, na mwongozo wake kwa kila siku ya mwaka huu mpya. Tukiwa na imani, tunatangaza ushindi juu ya kila changamoto na kushukuru kwa kila fursa mpya.
Jiunge nasi katika maombi haya yenye nguvu na amani, huku tukimkabidhi Bwana mipango yetu, familia zetu, na taifa letu. Mwaka 2026 ni mwaka wa kuuona wema wa Bwana.
Usisahau:
✔️ Kutufollow ili upokee maombi mengine ya kila wiki.
✔️ Share maombi haya ili kuwabariki wengine.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship