Skip to content
zeno
Create a Station
Explore
Podcasts
Audiobooks
Bible
By Genre
By Location
By Language
Religious
Music
News
Download App
Opens in a new window
Toggle Sidebar
zeno
Innocent Morris
Innocent Morris
Christianity
How To
Self-Improvement
Swahili
Kujifunza Neno la Mungu, Kukua Kiroho, Uhusiano na Roho Mtakatifu, Maombi
Website
Episodes
Episodes
4
09 September 2026
MAOMBI YA KUVUNJA MINYORORO YA TABIA MBAYA - Innocent Morris
Je, unajikuta ukirudia tabia ambazo hutaki kuzifanya? Je, umechoka kupambana na dhambi na mazoea yanayokurudisha nyuma kiroho? Katika maombi haya tutaomba pamoja, tukimwomba Mungu atupe nguvu za kuvunja minyororo ya tabia mbaya na kutembea katika uhuru aliotupatia kwa njia ya Yesu Kristo.Mungu akubariki unapoomba maombi haya. Usisahau ku-like na ku-share ili kuendelea kupata mafundisho...
48 min
04 September 2026
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 3 - Innocent Morris
Katika sehemu ya tatu ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe...
49 min
02 September 2026
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 2 - Innocent Morris
Katika sehemu ya pili ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe...
22 min
31 August 2026
ROHO MTAKATIFU NI NANI? Part 1 - Innocent Morris
Katika sehemu ya kwanza ya somo hili utajifunza kuhusu utambulisho wa Roho Mtakatifu na umuhimu wa kumjua kwa usahihi.Kwa maana kumjua Roho Mtakatifu ni hatua ya muhimu sana katika kujenga uhusiano wa karibu na Mungu na kuishi maisha ya ushindi.Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.Karibu sasa ujifunze somo hili.Ubarikiwe...
1 h 9 min