
Send us a text
MAOMBI YA KUOMBA ROHO YA UNYENYEKEVU - Innocent Morris
Katika maombi haya tutamwomba Mungu atujalie roho ya unyenyekevu. Kupitia maombi haya, tunaweka mioyo yetu mbele za Bwana tukijifunza kutembea kwa unyenyekevu, kutii Neno lake na kuepuka kiburi kinachotuzuia kuona utukufu wake.
Utaongozwa kuomba ili:
Mungu akuvike moyo wa unyenyekevu.
Uishi maisha yanayompendeza Kristo.
Ushinde roho ya majivuno na kujitegemea.
Upokee neema na kibali cha Mungu kwa wingi.
Tenga muda wako, na uombe maombi haya, na mwache Roho Mtakatifu akufundishe kutembea katika unyenyekevu wa kweli mbele za Mungu na wanadamu.
Usisahau KUSUBSCRIBE, KUSHARE, na KULIKE podikasti hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
https://www.instagram.com/holyspiritconnect/
Facebook Link:
https://www.facebook.com/holyspiritconnect/
YouTube Link:
https://www.youtube.com/holyspiritconnect
Tiktok Link:
https://www.tiktok.com/@hscworship
#holyspiritconnect #innocentmorris