About
Send us Fan Mail
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia damu ya Yesu kwa kina sana. Damu ya Yesu ni silaha hatari sana ambayo Mungu ametupatia, lakini ni lazima tujifunze namna ya kuitumia kwa imani katika maisha yetu ya kila siku.
"Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana-Kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; ambao hawakupenda maisha yao hata kufa."
Ufunuo wa Yohana 12:11
Mungu akubariki unapofuatilia somo hili. Usisahau ku-share ili kuendelea kupata mafundisho yatakayokujenga kiroho.
Karibu sasa ujifunze somo hili.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect