Send us Fan Mail
Je, unahisi maisha yako ya maombi yamepoa? Je, unatamani kurudi kwenye ule uwepo na nguvu uliokuwa nayo mwanzo, au unataka kwenda viwango vingine vya juu zaidi kiroho?
Katika sehemu hii ya Tatu (Part 3) ya somo hili utajifunza kwa kina siri za kurejesha na kuchochea moto wa maombi ndani yako. Maombi sio tu maneno tunayosema, ni uhai wa mwamini. Usikubali madhabahu yako ipoe!
Na utajifunza zaidi nini kinasababisha moto wa maombi kuzimika. Pia utajifunza hatua za kwanza za kuuwasha tena moto uliozimika.
Sikiliza sasa somo hili.
Usisahau KUSHARE episode hii ili kusambaza ujumbe wa Mungu kwa wengi zaidi!
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Tiktok: hscworship