Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.
27 May 2025

Innocent Morris - Umuhimu wa Kuanza Siku na Bwana.

Innocent Morris

About

Send us a text

ย 

Katika episode hii, Mtumishi Innocent Morris anafundisha juu ya umuhimu wa kuanza siku yako pamoja na Bwana. Ujumbe huu unaleta mwanga juu ya nafasi ya Mungu katika kila mwanzo wa siku zetu na jinsi ushirika wa kila asubuhi na Roho Mtakatifu unavyoweza kubadilisha maisha yako kabisa. Ni wakati wa kujifunza, kuhamasika, na kuchochewa kiroho ili uanze kila siku ukiwa na nguvu mpya kutoka kwa Bwana.ย 

Ubarikiwe sana.ย 

๐Ÿ“ž Innocent Morris
WhatsApp: +255652796450ย 

๐Ÿ”— Mitandao ya Kijamii:
๐Ÿ“ธ Instagram: @holyspiritconnect
๐Ÿ“˜ Facebook: Holy Spirit Connect
โ–ถ๏ธ YouTube: Holy Spirit Connect
๐Ÿ“ฑ WhatsApp: +255652796450ย