Yastaajabisha viongozi kuhaha kukandamizi taasisi za kimataifa za haki - Türk
27 February 2026

Yastaajabisha viongozi kuhaha kukandamizi taasisi za kimataifa za haki - Türk

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Haki za Binadamu Volker Türk ameonya kuwa shinikizo linaongezeka duniani kote dhidi ya haki za wanawake, uhuru wa kiraia na taasisi za kimataifa akitoa wito kwa serikali kujitolea upya katika ushirikiano, uwajibikaji na utawala wa sheria. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.