Skip to content
Opens in a new window
WFP yasaidia vijana nchini Tanzania kuongeza thamani kwenye mazao ya kilimo
20 October 2026

WFP yasaidia vijana nchini Tanzania kuongeza thamani kwenye mazao ya kilimo

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Nchini Tanzania, ushirikiano kati ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) na Wakfu wa Mastercard unalenga kuwawezesha vijana wajasiriamali na wakulima wadogo kupitia programu ya Vijana Kilimo Biashara (VKB). Programu ya Vijana Kilimo Biashara inawaunga mkono vijana wajasiriamali katika sekta ya kilimo pamoja na wanawake, ili kubadilisha kilimo cha kujikimu na kukifanya kuwa biashara za kisasa zenye tija na faida. Assumpta Massoi ana ripoti zaidi