
17 December 2025
Ubakaji kama silaha ya vita - Safari ya manusura wa DRC katika kupata uponyaji na heshima
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Ubakaji unaotumika kama silaha ya vita huacha majeraha yasiyofutika ya mwili, akili na ya roho. Katika ushuhuda huu wenye nguvu, manusura mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambaye sasa anaishi kama mkimbizi nchini Burundi, anasimulia safari yake ya maumivu baada ya kunusurika ukatili wa kingono uliomsababishia majeraha makubwa ya mwili, ikiwemo fistula, pamoja na makovu ya kina ya kihisia.Sheilah Jepng’etich na taarifa zaidi