Tatizo la ukatili wa kingono kutumika kama silaha ya vita Sudan ni moja ya masuala yenye uharibifu mkubwa na maumivu makali tunayokabiliana nayo - Tonderai Chikuhwa
17 April 2026

Tatizo la ukatili wa kingono kutumika kama silaha ya vita Sudan ni moja ya masuala yenye uharibifu mkubwa na maumivu makali tunayokabiliana nayo - Tonderai Chikuhwa

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Ukatili wa kijinsia na wa kingono unatumiwa kama silaha ya vita nchini Sudan, jambo ambalo limesahaulika huku migogoro ikiendelea katika maeneo mengi mengi kote duniani amesema Tonderai Chikuhwa, Mshauri Mwandamizi wa Sera katika Ofisi ya Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Ukatili wa kijinsia katika Migogoro, katika mahojiano na Khaled Mohamed wa Idhaa ya Kiarabu ya Umoja wa Mataifa. Feissal Kirwa amefuatilia mahojiano hayo na anaeleza zaidi katika taarifa hii.