Skip to content
Opens in a new window
Siku ya Chakula Duniani - Guterres ataka ubunifu na teknolojia kutokomeza njaa
16 October 2026

Siku ya Chakula Duniani - Guterres ataka ubunifu na teknolojia kutokomeza njaa

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametoa wito wa matumizi ya ubunifu, teknolojia na uwekezaji katika mifumo ya chakula ili kuhakikisha kila mtu anapata chakula salama, chenye lishe na cha bei nafuu. Katika ujumbe wake wa Siku ya Chakula Duniani hii leo, Guterres amesema licha ya dunia kuwa na maarifa na uwezo wa kulisha watu wote, mamilioni ya watu bado wanakabiliwa na njaa na ukosefu wa lishe bora. Flora Nducha na maelezo zaidi.