Ripoti: Uhasama wa umma dhidi ya wabunge waongezeka duniani
11 February 2026

Ripoti: Uhasama wa umma dhidi ya wabunge waongezeka duniani

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Wabunge kote ulimwenguni wanakabiliwa na viwango vinavyoongezeka vya vitisho, unyanyasaji na vurugu kutoka kwa umma imesema ripoti mpya iliyotolewa leo na Muungano wa Mabunge Duniani (IPU). Rashid Malekela na taarifa zaidi.