13 November 2026
Migogoro na milipuko ya magonjwa DRC yazidisha janga la njaa, watu milioni 30.3 hatarini
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Kwa mujibu wa Mfumo wa Umoja wa Umoja wa Mataifa wa tathimini ya viwango vya uhakika wa chakula IPC, hali ya uhaba mkubwa wa chakula inatarajiwa kuwa mbaya zaidi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), watu milioni 30.3 wakitarajiwa kukabiliwa na uhaba wa chakula wa viwango vya janga au hali mbaya zaidi kati ya mwezi Januari na Juni 2027. Anold Kayanda ameifuatilia ripoti hii na anaeleza kwa kina. Kwako Anold