11 November 2026
Mazishi salama na yenye heshima, silaha dhidi ya Ebola nchini DRC
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, mazishi salama na yenye heshima yanaendelea kuwa silaha muhimu katika vita dhidi ya Ebola. Wizara ya Afya ya DRC kwa msaada wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO, na wadau wake, inashirikisha jamii moja kwa moja katika mazishi hayo ili kulinda familia huku mila zikiheshimiwa. Augustine Aramba na taarifa zaidi.