
20 February 2026
Matumaini katikati ya migogoro: Kituo cha watoto yatima cha Juba chawapa watoto fursa ya pili
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Sudan Kusini ambako mizozo inaendelea kuvuruga utoto wa watoto, kituo kidogo cha watoto yatima katika mji Mkuu Juba kinawapa makumi ya watoto walio hatarini si tu makazi, bali pia matumaini, uponyaji, na nafasi ya kujenga upya mustakabali wao. Anold Kayanda na taarifa zaidi.