13 November 2026
Kuwa na ulemavu hakujazima ndoto yangu ya ujasiriamali - Pikoti Chepkemoi
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Nchini Kenya, Pikoti Chepkemoi, mwanamke mwenye ulemavu wa miguu kutoka Kaunti ya Pokot Magharibi, ameweza kujikwamua kiuchumi licha ya kuwa na changamoto za ulemavu huo tangu utotoni. Kupitia mafunzo ya ufugaji wa kuku na biashara ndogondogo yanayoambatana na ufadhili wa Shirika la Umoja wa Mataifa la masuala ya Wanawake, UN Women ndoto yake imetia. Cynthia Akhangwa na anatujuza zaidi