Kiwango cha hewa ukaa angani kimefurutu ada na kutishia ongezeko la joto duniani - WMO Ripoti
15 October 2025

Kiwango cha hewa ukaa angani kimefurutu ada na kutishia ongezeko la joto duniani - WMO Ripoti

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Ripoti mpya ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Hali ya Hewa Duniani, WMO, inasema kiwango cha gesi ya hewa ukaa, yaani carbon dioxide au CO₂, kimeongezeka kwa kiwango cha kuvunja rekodi mwaka 2024, na kufikia viwango vipya vya juu zaidi kuwahi kurekodiwa. Flora Nducha ameisoma ripoti hiyo na anatupa tathimini