Kenya: Mradi wa PLEAD Kenya yaleta mabadiliko chanya katika uwezeshaji wa kisheria
03 October 2025

Kenya: Mradi wa PLEAD Kenya yaleta mabadiliko chanya katika uwezeshaji wa kisheria

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Mashirika ya Umoja wa Mataifa, lile la Mpango wa Maendeleo, (UNDP) na la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) kwa ushirikiano na viongozi wa sheria nchini Kenya hadi mashinani  wamezindua mpando wa PLEAD unaolenga kuboresha mfumo wa haki katika kaunti 12 nchini humo. Lengo lao ni kuimarisha haki jumuishi kwa kutoa majawabu mbadala badala ya kifungo, kupunguza msongamano wa magereza kwa asilimia 30, na kuondoa mkwamo wa maisha. Sheilah Jepngetich anaeleza zaidi kupitia video iliyochapishwa kwenye chaneli ya Youtube ya UNDP