Kati ya magofu na uhaba, vituo vya redio vinafanya juhudi kuunganisha tena jamii Gaza
13 February 2026

Kati ya magofu na uhaba, vituo vya redio vinafanya juhudi kuunganisha tena jamii Gaza

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Kabla ya vita vya sasa kuanza katika Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina lilalokaliwa kimabavu na Israel, Redio ilikuwa chombo muhimu kwa umma na kwa hakika umuhimu wake haujakoma isipokuwa huduma ya matangazo ya redio ndio iliyokuwa imekoma kutokana na vituo vya redio kusambaratishwa kwa makombora, lakini sasa juhudi zinafanyika kuirejesha huduma hiyo muhimu. Anold Kayanda na taarifa zaidi.