Jifunze Kiswahili: Maana za neno "MAHULUCHI"
13 January 2026

Jifunze Kiswahili: Maana za neno "MAHULUCHI"

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili hii leo, Mtaalam wetu Onni Sigalla, Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA anafafanua maana za neno "MAHULUCHI"