
12 February 2026
Jifunze Kiswahili: Maana ya neno "UNGUKA"
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili na hii leo Dkt. Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA anafafanua maana ya neno "UNGUKA"