
02 April 2026
Jifunze Kiswahili: Maana ya methali “Atanguliaye kufika huchagua pa kukaa”
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Katika jifunze Kiswahili, leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye Kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali “ATANGULIAYE KUFIKA HUCHAGUA PA KUKAA”