Jifunze Kiswahili: Maana ya "KOO" katika muktadha wa wanyama
17 February 2026

Jifunze Kiswahili: Maana ya "KOO" katika muktadha wa wanyama

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo ukumbi ni wake mlumbi wa lugha ya Kiswahili Joramu Nkumbi kutoka nchini Tanzania, anafafanua maana ya "KOO" katika muktadha wa wanyama