Je wajua maana ya methali “ANUIAYE KUKUTUKANA HAKOSI MATANGO”
26 February 2026

Je wajua maana ya methali “ANUIAYE KUKUTUKANA HAKOSI MATANGO”

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Katika kujifunza lugha ya Kiswahili leo mchambuzi wetu ni Dkt. Josephat Gitonga, ambaye ni Mhadhiri katika Chuo Kikuu cha Nairobi nchini Kenya, kwenye kitivo cha Tafsiri na Ukalimani anafafanua maana ya methali “ANUIAYE KUKUTUKANA HAKOSI MATANGO”