Fungueni minyororo ya kihistoria inayokwamisha Afrika
11 February 2026

Fungueni minyororo ya kihistoria inayokwamisha Afrika

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Jukwaa la akili unde au AI lililofanyika kwa siku mbili huko Nairobi, nchini Kenya limekunja jamvi ambapo mmoja wa washiriki amesema wanaodai kuwa bara la Afrika liko nyuma kwenye teknolojia hiyo, ni dhahiri shairi hawalifahamu vema bara hilo lenye mataifa 54. Assumpta Massoi na maelezo zaidi.