Fundi wa magari mwanamke wa UNMISS atunukiwa nishani ya Umoja wa Taifa
27 February 2026

Fundi wa magari mwanamke wa UNMISS atunukiwa nishani ya Umoja wa Taifa

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Fundi wa magari mwanamke kutoka nchini Ethiopia anayehudumu na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS, Meja Tigist Ferede ametunukiwa nishani ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, kwa kusimamia jukumu muhimu la wanawake katika operesheni za kulinda amani nje ya kushika bunduki. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Rashid Malekela.