Skip to content
Opens in a new window
Dunia ina chakula cha kutosha lakini mamilioni wanakabiliwa na njaa
16 October 2026

Dunia ina chakula cha kutosha lakini mamilioni wanakabiliwa na njaa

Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

About
Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Chakula Duniani hii leo, Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu kuongezeka kwa matumizi ya njaa kama silaha ya vita, huku ukihimiza ubunifu, teknolojia na hatua za mapema katika kukabiliana na uhaba wa chakula duniani. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi