16 October 2026
Akili mnemba yawezesha wakulima wanawake vijijini nchini Misri kupata majawabu ya changamoto za kilimo
Habari za UN - Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu
About
Suala la kuhakikisha ubunifu unatumika ili kuongeza tija kwenye kilimo linatekelezwa kivitendo huko nchini Misri ambako wanawake wakulima waliko vijijini kupitia usaidizi wa shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo, (FAO), sasa wanapata taarifa sahihi za kilimo kwa wakati, kwa urahisi na kulingana na mazingira yao. Assumpta Massoi.