About
Kikosi cha 12 cha Ulinzi wa Amani kutoka Tanzania kinachohudumu nchini Jamhuri ya Kidemkrasia Congo DRC chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa Kulinda amani nchini DRC, MONUSCO kimefanikiwa kurejesha amani katika kijiji cha Sayo kilichopo katika mji wa Beni. jimboni Kivu KaskaziniTuungane na Private Lazaro Richard Mlyuka aliyetuandalia mada hii kwa kwa kina akieleza juhudi zilizofanyika na wanasaidiaje wananchi.