uzimafm

Ee Mungu, uniokoe, Ee Bwana, unisaidie hima. 2 Waaibike, wafedheheke, Wanaoitafuta nafsi yangu. Warudishwe nyuma, watahayarishwe, Wapendezwao na shari yangu. 3 Warudi nyuma, na iwe aibu yao, Wanaosema, Ewe! Ewe! 4 Washangilie, wakufurahie, Wote wakutafutao. Waupendao wokovu wako Waseme daima, Atukuzwe Mungu. 5 Nami ni maskini na mhitaji, Ee Mungu, unijilie kwa haraka. Ndiwe msaada wangu na mwokozi wangu, Ee Bwana, usikawie

Follow us

Let’s follow our station on social media!

Follow on FacebookFollow on TwitterFollow on InstagramFollow on Youtube

Announcements

kwa mawasiliano

+255719446250 au +255753957533

January 19, 2022, 07:56 AM

Bwana Yesu asifiwe

karibu kusikiliza ibada zetu live na vipindi vingine vizuri vitakavyo kujenga kiroho na kimwili kwa wasiliano +255719446250

January 18, 2022, 06:36 PM