Piom Radio
Piom Radio

Piom Radio

Bwana Yesu Kristo Asifiwe tunapenda kukukaribisha kwenye radio yetu yenye maudhui au vipindi pendwa kabisa vya mafundisho ya neno la Mungu, Maombi , Maombezi na Kumtukuza Mungu kwa Nyimbo mbali mbali za kumsifu na KUMWABUDU Mungu, Pia karibu kutangaza pamoja nasi katika radio zetu kwa gharama Nafuu kabisa , Tangaza huduma yako Biashara yako na Nyimbo zako sasa tupigie simu sasa , lakini karibu Ofisin kwetu tunapatikana Dar es salaam Tegeta , Makao Makuu ya huduma ya PIOM CHURCH, Mungu akubariki sana

Unaweza Shiriki pia baraka hizi kwa kuchangia sadaka yako ili kuendeleza radio yetu yetu na Mungu atakubariki sana in Jesus name

Namba zetu, +255764319741 +255784757548

Download App

Website Image

Announcement

January 7, 2025

PIOM FM RADIO NI RADIO YA KIKRISTO INAYO KULETEA NENO LA MUNGU / MAOMBI / UPONYAJI NA UKOMBOZI HALISI KWA NGUVU ZA ROHO MTAKATIFU

Karibu kushiriki vipindi mbali mbali vya neno la Mungu, Maombi na Maombezi , yana letwa mbele kutoka madhabahuni , ndani ya Kanisa la Piom Church , lililopo Tegeta Dar es Salaam Tanzania , mtaa wa makamba ukumbi wa Bonden Park , karibu sana na Mungu akubariki zaidi : Wasiliana na sisi sasa +255746025335