

Nuru ya Watu FM
Nuru ya watu ni kituo cha online redio cha Kikristo, ambacho hutangaza habari njema za ufalme wa Mungu, na kurusha muziki wa injili na matangazo ya moja kwa moja ya ibada na maombi na maombezi kutuma mahitaji yako, kwa ajili ya maombi pia kutuma shuhuda kile Mungu ametenda Kwa namba 0698511991 whatsApp Pia utaweza kufatilia ibada zetu live
Announcement
June 19, 2024
TANGAZO LA IBADA ZETU
Karibu katika ibada zetu kila siku ya jumanne saa 10:30 Jioni , Alhamisi saa 10:30 jioni na Jumapili kuanzia saa 3:30 asubuhi