Kama sehemu ya Msisimko Media, Msisimko FM inasimamia maadili ya uaminifu, usawa, na utoaji wa habari kwa wakati, ikilenga -:
kuhamasisha,
kuelimisha, na
kuburudisha jamii.
Vipindi vyetu vinahusu-:
siasa,
uchumi,
michezo,
burudani, na
maisha ya kila siku.
Ungana nasi na upate msisimko wa kweli! Msisimko FM — Msisimko wa kweli