Mombasa Radio
Mombasa Radio

Maandiko yanatueleza kuwa tulikombolewa kwa neema kwa njia ya imani na sio kwa sababu ya nguvu zetu, ili mtu awaye yeyote asije akajisifu (Waefeso 2:8-9). Hivyo kwamba, lazima tuipe neno la Mungu kipaumbele ili Mungu azidi kutupa mengi ya kwake kadri tunavyo zidi kumuelewa.

Hii stesheni ilizinduliwa na Mwalimu wa bibilia ndugu Keith Muoki kutoka Mombasa, Kenya aliyeona kuwa watu wengi hawamjui Mungu sio kwa sababu hawaendi kanisani, bali ni kwa sababu hawayaelewi maandiko. Ndivyo kwa msukumo wa Mungu aliamua kuifungua stesheni ili alihubiri neno.

Waweza ukazungumza naye wakati wowote kupitia nambari za simu +254 732 641146

Au tuma barua pepe: keithpaul.biz@gmail.com

Mfuate pia kwenye mitandao ya kijamii:

Facebook, Youtube, Instagram, Tiktok na kwingineko - Tafuta Jina (Keith Muoki)