MEDI FM
MEDI FM

MEDI FM

KARIBU!

MEDI FM ni kituo cha redio kinachojikita katika kutoa habari, burudani, na elimu kwa jamii. Kinatoa vipindi mbalimbali vinavyohusisha habari na matukio, michezo na burudani kutoka kwa watangazaji wenye umahiri katika uandishi wa habari na utangazaji wa maudhui ya redio.

Download App

Website Image

Website

Website ImageTovuti yetu.

Donations

Kama unavyojua, MEDI FM ni kituo huru na kidogo cha utangazaji wa maudhui ya redio kilichoanzishwa Septemba 6, 2024. Tunahitaji msaada wako ili kuwezesha kurusha matangazo yetu kila siku. Msaada wako kupitia M-Pesa 0767-033-297 AirtelMoney 0697-846-201

Announcement

October 5, 2024

KARIBU SANA!

MEDI FM