

MBIU FM
Mbiu FM ni Idhaa ya Mtandaoni inayopeperusha matangazo Moja kwa Moja kutoka mjini Mombasa.Ni Idhaa inayokuja kwa kasi bila kesi lengo la kuasisiwa kwake lake likiwa kubadilisha mfumo mzima wa utangazaji nchini Kenya kwa kuangazia zaidi maswala na maslahi yanayohusu wananchi wanyonge na kuwawezesha kupaza sauti zao kwa idara husika.
Katika orodha ya vipindi vyetu tumewaandalia Vipindi Bomba kabisa ambavyo lengo lake ni kuelimisha kuhamasisha kuhabarisha na Kukuburudisha wewe msikilizaji wetu.