

MASJID ISLAHI KIGAMBONI-ZANZIBAR
Hii ni Online Redio ya Masjid Islahi iliyopo Bububu, Kigamboni-Zanzibar inayosimamiwa na Sheikh Abuu Yahya Hamad Nassor (Allah amhifadhi) na itahusisha urushaji wa Darsa za Sheikh live kutoka ndani na nje ya Masjid hii.