

Masihi Redio Afrika
Karibu Mpendwa, Tunakukaribisha kuisikiliza Redio yetu hii inayojulikana kwa ubora wake wa kupeperusha:
■Mahubiri na Mafundisho ya Biblia yanayojenga na Kuinua hali yako ya kiroho.
■Pia hupeperusha Shuhuda mbalimbali kutoka kwa watumishi wa Bwana wetu Yashua Masihi(Yesu Kristo) ili kukutia moyo zaidi katika safari ya wokovu.
■Pia utapata kuzisikiliza🎵 nyimbo bora za kuabudu na kumsifu Yahweh.
♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️♦️
Usisahau kupakua App yetu (The Messianic App) ila kupata urahisi zaidi wa kuzifikia Redio zetu, Mafundisho na shuhuda zilizo nakiliwa.
Donations
As you know, we are an independent broadcast station. For us, It has always been hard to maintain our broadcast without your support.
To support us, please click to the donate button and then choose the app you’ll donate with. Thank you very much!
Announcement
November 21, 2024
KIPINDI KIPYA CHA DORCAS MWAKA
Habari zenu, Leo Nina Habari njema. Kila saa Moja na Nusu [19:30 - 21:00] usiku Huwa ninakuwa live, nimepewa mda huo niwe nitafundisha neno la Mungu. Nakukaribisha kushikiriana nami kupitia kupiga simu au kutuma ujumbe kupitia nambari hii +254114616111 au +254719456698 na pia unaeza nitafuta Facebook kama Dorcas Mwaka au unaeza tumia tu Masihi Redio Afrika.