Habari Njema Radio
Habari Njema Radio

Habari Njema Radio

Habari Njema Radio tunahubiri habari za Neno la Mungu, Wokovu na Ufalme wa Mungu ulioletwa kwetu kupitia Bwana Wetu Yesu Kristo. Karibuni sana!

"....Ninyi mkikaa katika neno langu, mmekuwa wanafunzi wangu kweli kweli; tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru." - Yohana 8:31-32