

Habari Maalum FM
Habari Maalum ni Radio inayomilikiwa na Kanisa la FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA(FPCT) na ilianza mwaka 1974 Marangu Mkoani Kilimnjaro. 1982 Ikahamia Arusha Mjini na Mwaka 1984 ikahamia Ngaramtoni. Karibu sana tuwe sote
Download App
Announcement
September 6, 2022
Habari Maalum
Karibu sana tuungane kumtangaza Kristo Yesu











