Skip to content
Opens in a new window
GM FM RADIO
GM FM RADIO

GM FM RADIO

GM FM Radio 97.3 ni kituo cha redio kinacholenga kuleta burudani, habari na taarifa mbalimbali kwa wasikilizaji wake. Tunatoa muziki mzuri, vipindi vya burudani, habari, michezo, elimu na mijadala inayogusa jamii.

Tunaamini katika kuibua vipaji, kukuza ubunifu na kuunganisha jamii kupitia redio. GM FM — Tumekufikia kwa kishindo.

Download App

QR code to download the app