INAWATANGAZIA NAFASI ZA MASOMO YA PRE- FORM ONE YATAKAYOANZA MWEZI WA TISA MWAKA HUU MKAZI WA IFAKARA NA MAENEO MENGINE MLETE MWANAO AWEZE KUANDALIWA VIZURI KWAAJILI YA FORM ONE TUNAPATIKANA IFAKARA MAENEO YA UWANJA WA NDEGE KATIKA KANISA LA BAPTIST KWA MAWASILIANO ZAIDI TUPIGIE KUPITIA NAMBA ZA SIMU 0675682755 AU 0787462716 WOTE MNAKARIBISHWA