BLESSED HOPE FM 104.5
BLESSED HOPE FM 104.5

BLESSED HOPE FM 104.5

Blessed Hope Radio FM Stereo ni kituo cha redio cha Kikristo kwaajili ya Uinilisti, Umisheni na Ufuasi, Kituo kilichoanzishwa na Tanzania Assemblies of God (TAG). Kinapatikana  mtaa wa WAJA, Mkoani Geita, kinatoa vipindi vya Habari, Elimu,  mafundisho ya kiroho na burudani kwa masaa 24 kila siku, siku saba za wiki. Kinatangaza kupitia mawimbi ya 104.5 MHz, na kufikia maelfu ya wasikilizaji kutoka mikoa mbalimbali ya Geita na sehemu za jirani kama Mwanza na Biharamulo.

"Baraka tele kwa wote," ni kauli mbiu ya kituo hiki, kinacholenga kuwafikia watu wa kila tabaka na kuwapa matumaini na faraja.

Blessed Hope Radio FM Stereo is a Christian radio station dedicated to Evangelism, Mission, and Discipleship. It was established by the Tanzania Assemblies of God (TAG). Located on WAJA Street in Geita, the station broadcasts 24 hours a day, seven days a week, offering a variety of programs including news, education, spiritual teachings, and entertainment. Broadcasting on a frequency of 104.5 MHz, it reaches thousands of listeners across Geita region and neighboring areas such as Mwanza and Biharamulo.

With the slogan "Blessings for all," the station aims to reach people from all walks of life, providing them with hope, encouragement, and spiritual enrichment.