

BADO KUNA USHINDI FM
Bado Kuna ushindi FM Radio inaongozwa kwa misingi ya Kristo , kwa kuitii Biblia na kuifuata kama kiongozi cha kazi zote za kiroho na kimwili. Radio hii itarusha mahubiri, maombi na maombezi, mafundisho, na shuhuda za kuelimisha na kuinua imani, pamoja na kuleta mada zenye kuhitaji ufafanuzi. Pia kutakuwa na maswali, na mahojiano maalumu yenye lengo la kujenga na kuelimisha kiimani. Tunakaribisha watu wote kusikiliza, kushauri, kiustaarabu na kwa staha. UNAWEZA KUTUWEZESHA KWA KUTUMA SADAKA YAKO KWA Mawasiliano piga +255(0)629 920 640 au +255(0)718 600 557.
Download App
Announcement
April 15, 2024
BADO KUNA USHINDI FM
NEW GOSPEL TRACKS











